Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi

SHUKRANI

Namshukuru Mungu muumba wangu kwa maisha niliyonayo pamoja na afya njema aliyonipa

katika kipindi nilichokuwa nafanya utafiti wangu na shughuli zote za kukamilisha utafiti huu.

Pia namshukuru Bi Mutenyo Aidah, mhadhiri katika idara ya lugha kwa kujitolea mhanga

kunisimamia na kunisaidia vilevile. Umekuwa mzazi kwangu Mimgu akubariki sana.

Ningependa pia kuwashukuru wahadhiri wengine katika idara ya lugha wakiwemo; Bwana

Wilson Onyeit, Bi Azabo na Bwana Atukunda Edwin.

Siwezi kutowashukuru wazazi wangu Bwana Marko john na Bi Jackline Marko kwa kunizaa

na kunilea, shangazi yangu Bi Matilda john kwa kunikuza, kunitunza, kunilipia karo kuanzia

masomo yangu ya sekondari paka hapa nilipo.umekuwa msaada mkubwa kwangu kwani

umenilea nakunipenda kama mwanao kuanzia utotoni mwangu paka katika ukubwa wangu,

umekuwa rafiki mkubwa kwangu nazaidi ya shangazi sina budi kukuita mama kwani

matendo yako nakujitoa kwako kumedhihirisha mengi kwangu, pesa ulizonipatia pamoja na

msaada wakati nilipokuwa nafanya utafiti huu nashukuru.

Pia nawashukuru rafiki zangu kama Upendo William. Bwema Kenneth, Ojambo Justine na

lukeeyo David.

Iv

FAHARASA

UNGAMO . j

IDHINI ii

TABARUKU iii

SHUKRANI iv

FAHARASA v

YALTYOMO vii

IKSIRI viii

SURA YA KWANZA 1

1.1 Usuliwamada 2

1.2 Swala la utafiti 4

1.3 Madhumuni ya utafiti 4

1.4 Malengo mahususi ni; 4

1.5 Umuhimu wa utafiti 5

1.6 upeo wa utafiti 5

1.6.1 Upeo wakiufundi 5

1.6.2 Upeo wa kijografia 5

1.6.3 Upeo wa kiwakati 5

1.7 Shida zilizornkumba mtafiti 5

SURAYAPILI 7

MAPITIO YA MAANDISHI 7

2.0 Utangulizi 7

2.1 Maandishi kt.thusu mila na usasa 7

2.2.1 Maandishi kuhusu jamii ya Wachaga 8

2.4 Maandishi kuhusu mada 10

2.5 Hitimisho 13

SURAYATATU 14

MBTNU ZA UTAFITI 14

3.0 Utangulizi 14

3.1 Utaratibu wa utafiti 14

3.2 Uteuzi wa sampuli 14

V

3.3 Mbinu za kukusanya data .14

3.4Hojaji 14

3.SMahojiano 15

3.6 Uchunguzi shirikishi 15

3.7 Uteuzi wavifaa 15

3.8 Uchanganuzi wa data 15

SURAYANNE 16

UWASILISEIAJI NA UCHANGANUZI WA DATA 16

4.0 Utangulizi 16

4.1 Uwasilishaji na uchanganuzi wa data 16

4.2 Tathmini ya hojaji na mahojiano 16

4:6 Je majina na methali za kichaga husawili hali ya mvutano baina ya mila za zamani na

usasa9 20

4.3 Majadiliano ya matokeo 20

4.3.1 Lengolakwanza 20

4.3.2 Lengo la pili 22

4.3.3 Lengo latatu 23

SURA YA TANO 26

MUHTASARI, HITIMISHO NA MAPENDEKEZO 26

5.0 Utangulizi 26

5.1 Muhtasari 26

5.2Hitimisho 27

5.3 Mapendekezo 28

MAREJELEO 30

VIAMBATANISHO 32

Overall Rating

0

5 Star
(0)
4 Star
(0)
3 Star
(0)
2 Star
(0)
1 Star
(0)
APA

Research, S. (2022). Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi. Afribary. Retrieved from https://track.afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi

MLA 8th

Research, SSA "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi" Afribary. Afribary, 21 Aug. 2022, https://track.afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi. Accessed 26 Jan. 2025.

MLA7

Research, SSA . "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi". Afribary, Afribary, 21 Aug. 2022. Web. 26 Jan. 2025. < https://track.afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi >.

Chicago

Research, SSA . "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi" Afribary (2022). Accessed January 26, 2025. https://track.afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi