This study demonstrates that self-interpretation does indeed occur in Kenyan courtroom proceedings, a situation that necessitates the use of a language other than the regular and official languages of Kenyan courts. Such language use rendered mostly in terms of self-interpretation has far-reaching ramifications on the content, facts, style, and meaning predispositions of a witness’s testimony. Most studies in courtroom communicative interactions, language, and speech manifestations, have be...
IKISIRI Huu utafiti ulihusu matumizi ya nadharia ya vitendo usemi kusuluhisha tatizo la ulinganifu katika tafsiri. Msisitizo ulitiliwa kwenye ngazi ya ilokusheni ambapo swali kuu lililoongoza utafiti wenyewe ni kutatokea nini iwapo nadharia ya vitendo usemi (VU) itahuruhijwa na kutumiwa kama msingi wa kushughulikia tafsiri ya Kiswahili? Nadharia ya VU inaweza kuwa faafu, iwapo, mihimili yake itaeleweka na jinsi VU huibuliwa katika lugha lengwa (LL). Miundo ya kuibua VU ambavyo tumeainisha kwa...