Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini

SHUKURANI

Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na watoto wetu kwa ushirikiano mkubwa waliouonesha katika kuhakikisha kazi hii inafanikiwa. Salum, uwe mume wangu milele! Tatu, ninatoa shukurani zangu za dhati kwa msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla. Pia, wale wote waliohusika na uhariri na ushauri ili kuipa sura kazi hii. Ni vigumu kumtaja kila mtu na hivyo nalazimika kuwataja kwa makundi. Tano, watu wote walio nisaidia rasilimali fedha, rasilimali vitu, muda, usafiri, malazi na hata nilipohitaji mawazo yao ili mradi tu, kufanikisha utafiti huu. Sita, natoa shukurani zangu za dhati kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na wafanyakazi wake kwa jumla. Wahadhiri wangu wote walionifundisha Shahada ya Umahiri (2014/2016), wafanyakazi wa maktaba, malazi na utawala. Na mwisho, kwa dhati ya moyo wangu, nawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi kwa namna moja ama nyingine kwa mafanikio ya utafiti huu. Wote kwa pamoja ninawapa ahsante yangu. Hakika bila ya nyinyi kazi hii isingefikia hapa ilipofikia. Nawathamini na sitachoka kuwataja kwa mapenzi yenu na ushirikiano mliouonesha kwangu. Mwenyezi Mungu awape kila la kheri. Amiin!

Overall Rating

0

5 Star
(0)
4 Star
(0)
3 Star
(0)
2 Star
(0)
1 Star
(0)
APA

Said, Z (2021). Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini. Afribary. Retrieved from https://track.afribary.com/works/usawiri-wa-ufungwa-katika-riwaya-za-kiswahili-mifano-kutoka-katika-riwaya-za-umleavyo-na-haini

MLA 8th

Said, Zuhura "Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini" Afribary. Afribary, 19 May. 2021, https://track.afribary.com/works/usawiri-wa-ufungwa-katika-riwaya-za-kiswahili-mifano-kutoka-katika-riwaya-za-umleavyo-na-haini. Accessed 27 Jan. 2025.

MLA7

Said, Zuhura . "Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini". Afribary, Afribary, 19 May. 2021. Web. 27 Jan. 2025. < https://track.afribary.com/works/usawiri-wa-ufungwa-katika-riwaya-za-kiswahili-mifano-kutoka-katika-riwaya-za-umleavyo-na-haini >.

Chicago

Said, Zuhura . "Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini" Afribary (2021). Accessed January 27, 2025. https://track.afribary.com/works/usawiri-wa-ufungwa-katika-riwaya-za-kiswahili-mifano-kutoka-katika-riwaya-za-umleavyo-na-haini